HomeHabari Msanii Rayvanny Katika Mahaba Mazito na Mrembo Huyu Aliyefanya Nae Video...Wanapika na Kupakuwa byBm Tv -March 01, 2020 Msanii wa Bongoflava Rayvanny akwaa skendo kutoka kimahaba na Video vixen wake *Queenphay Kwa sasa taarifa za kunyapia zinasambaa kuwa mrembo huyo na Vanny Boy Wanapika na Kupakuwa, Fahyama Tupa kule mbali