MAALIM SEIF HAMAD USO KWA USO NA RAIS JOHN MAGUFULI, MAMBO YALIKUWA HIVI
byBm Tv-
Mwana siasa Mkongwe kutoka vyama vya Upinzani Upande wa Zanzibar Maalim Seif, Amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam