ALIYEWAFUNGA YANGA (SALIM AIYEE) AJITAPA "NIMESHAZOEA KUWAFUNGA"
Mchezaji wa KMC Salim Aiyee Salim, Amethibitisha Ubora wake mara baada ya kuwafunga vigogo wa soka hapa Tanzania pale alipoifungia Timu yake KMC goli pekee lilioipa Pointi 3 muhimu Timu yake, Akiongea na BM TV TANZANIA, Salim aliongeza kusema yeye sio mara ya kwanza kuwafunga Yanga ila mara zote wakikutana awapo Timu yoyote huwa hawaachi salama Wananchi Yanga Afrika.
