TETESI ZA SOKA LEO JUMANNE TAR 24.02.2020 |ZLATAN KUTEMWA NA AC MILLAN.

Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswidi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Klabu Bingwa Ulaya. (Mail)
Meneja wa Roma Paulo Fonseca anataka kusaini mkataba na wachezaji Chris Smalling, wa Manchester United mwenye umri wa miaka 30- ambaye pia ni mlinzi wa England, na kiungo wa kati wa Arsenal raia wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, mwenye umri wa miaka 31, kwa mikataba ya kudumu.

BM

BM